Taarifa ya habari za asubuhi 14.03.2017 | Media Center | DW | 14.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya habari za asubuhi 14.03.2017

Miongoni mwa taarifa: Baraza la Uingereza House of Lords laidhinisha mswada unaompa mamlaka Waziri Mkuu kuazisha mchakato wa Brexit.Uturuki yasitisha kwa muda mahusiano ya kidiplomasi na Uholanzi. Kiongozi wa upinzani Niger, Hama Amadou ahukumiwa mwaka mmoja jela.

Sikiliza sauti 07:59