1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 12.08.2017

Yusra Buwayhid
12 Agosti 2017

Rais Uhuru Kenyatta atangazwa mshindi wa urais Kenya. Rais wa Marekani Donald Trump aitishia Venezuela kwa nguvu za kijeshi. Watu 40 hadi sasa wamepoteza maisha kutokana na ajali ya treni Misri.

https://p.dw.com/p/2i6Uz