Taarifa ya habari ya asubuhi | Media Center | DW | 24.07.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya habari ya asubuhi

Rais wa marekani Joe Biden ameidhinisha dola milioni 100 katika kushughulikia dharura ya wakimbizi inayohusiana na hali nchini Afghanistan. Baraza la Usalama lalaani hatua ya Uturuki kutaka kuufungua tena mji wa Varosha

Sikiliza sauti 08:00