1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya Asubuhi

Zainab Aziz
1 Februari 2018

Umoja wa Ulaya waahidi msaada wa fedha kwa Wapelstina. Shirika la upelelezi wa ndani la nchini Marekani FBI latilia mashaka usahihi wa hati nyeti juu ya Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani.Wakulima wa kizungu kukodisha mashamba kwa muda mrefu zaidi Zimbabwe.

https://p.dw.com/p/2rsfq