Taarifa ya habari ya Asubuhi tarehe 18.06.2020 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 18.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Taarifa ya habari ya Asubuhi tarehe 18.06.2020

VIDOKEZO: Aliyekuwa mshauri wa usalama wa kitaifa wa Rais Trump John Bolton adai Rais Trump alimrai rais wa China Xi Jinping kumsaidia ashinde uchaguzi wa 2020.//India na China zafanya mazungumzo kutuliza machafuko ya mpakani.// Kenya na Djibouti kuchuana tena katika duru ya pili ya uchaguzi baada ya kushindwa kupata wingi wa kura ili kuhudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Sikiliza sauti 08:00