1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi. 28.10.2017

Zainab Aziz
28 Oktoba 2017

Waziri mkuu wa Uhispania alivunja bunge la jimbo la Catalonia. Nchini Kenya, uchaguzi katika maeneo ya Nyanza waahirishwa tena. Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres asema udhalilishaji wa kingono hautavumiliwa hata kidogo.

https://p.dw.com/p/2mehG