Taarifa ya Habari ya Asubuhi 22.09.2022 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 22.09.2022

Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 22.09.2022

Rais Joe Biden wa Marekani aituhumu Urusi kwa kuvunja sheria ya kimataifa kwa kuivamia Ukraine. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky asema wafungwa 215 raia wa Ukraine na wa kigeni wameachiwa huru na Urusi. Na rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na familia washtakiwa kwa ulaghai.