1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi: 20.09.2019

Tatu Karema
20 Septemba 2019

Pendekezo la waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu la serikali ya muungano lakataliwa, Marekani yatangaza kuwafurusha wajumbe wawili wa Cuba na shirika la UNICEF lasema zaidi ya watoto milioni 29 walizaliwa katika maeneo yaliokuwa na mizozo mwaka jana.

https://p.dw.com/p/3PuoG