Taarifa ya habari ya asubuhi 20.02.2020 | Media Center | DW | 20.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya habari ya asubuhi 20.02.2020

Polisi inawasaka washambuliaji waliowaua watu wanane magharibi mwa Ujerumani. Iran yathibitisha vifo vya watu wawili vilivyotokana na virusi vya Corona. Uturuki na Urusi zashindwa kufikia makubaliano kuhusu mashambulizi ya Idlib.

Sikiliza sauti 07:59