1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 19.12.2016

Sylvia Mwehozi
19 Desemba 2016

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo linapiga kura juu ya azimio la kuwapeleka haraka waangalizi wa Umoja wa Mataifa katika mji wa Aleppo nchini Syria. Wajumbe wa majimbo nchini Marekani wanatarajiwa kukutana leo kupiga kura kumchagua rais ajaye pamoja makamu wa rais. Na Muhula wa mwisho kwa rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila, unamalizika leo Jumatatu.

https://p.dw.com/p/2UUde