1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya asubuhi 05.11.2018

Sylvia Mwehozi
5 Novemba 2018

Marekani yaanza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Iran. Ufaransa yaadhimisha kumbukumbu ya kumalizika vita ya kwanza ya dunia. Na ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa onyo kwa raia wake kutokana na hatua za kupambana na vitendo vya ushoga.

https://p.dw.com/p/37eWU