1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 04.07.2021

Josephat Charo
4 Agosti 2021

Watu 4 wauwa na wengine 20 wajeruhiwa katika mashambulizi ya mabomu mjini Kabul. Mwanaharakati wa Belarus akutwa aning'inia mtini katika bustani moja nchini Ukraine. Na rais wa Lebanon Michel Aoun aunga mkono uchunguzi huru kuhusu mlipuko uliotokea mjini Beirut mwaka mmoja uliopita.

https://p.dw.com/p/3yVaN