1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi: 03.08.2017

Zainab Aziz
3 Agosti 2017

Kwenye taarifa yetu ya habari leo asubuhi: Rais Temer wa Brazil anusurika kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya rushwa. Uturuki yafanya mabadiliko ya uongozi katika jeshi lake. Raia sita wauliwa na kundi la magaidi wa Boko Haram Kaskazini Mashariki mwa Nigeria

https://p.dw.com/p/2hbbe