1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
15 Oktoba 2019

https://p.dw.com/p/3RHkX

-Marekani imeitaka Uturuki kusitisha mara moja operesheni za kijeshi nchini Syria, na kuitolea nchi hiyo vitisho vipya vya vikwazo.
-Nchini Msumbiji, wananchi wanapiga kura kumchagua rais, wabunge na serikali za majimbo.
-Mechi kati ya England na Bulgaria yasimamishwa kwa muda kutokana na vitendo vya ubaguzi vya mashabiki wa Bulgaria.