1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

15 Septemba 2021

Mwendesha mashtaka katika kesi ya mauaji ya Rais Moise aachishwa kazi huko Haiti//Maafisa wa zamani wa ujasusi Marekani wakiri kutoa teknolojia ya Udukuzi kwa Falme za Kiarabu//Na Serikali ya Taliban yaahidi kutokubali nchi hiyo kutumika kama uwanja wa mashambulizi ya wanamgambo.

https://p.dw.com/p/40Kpg