1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

5 Januari 2019

Rais Trump asema mkwamo wa shughuli za serikali Marekani huenda ukadumu kwa miezi au miaka//Umoja wa mataifa wakosoa hatua ya kuunyamazisha upinzani nchini Congo kabla kutangazwa matokeo ya Kura//Na watu 46 wauwawa katika mapigano ya kikabila nchini Burkina Faso

https://p.dw.com/p/3B3o4