1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

18 Agosti 2018

Kansela wa Ujerumani Merkel aonya dhidi ya kuwepo na matarajio makubwa katika mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin leo//Italia yaanza mchakato wa kuifutilia mbali leseni ya kampuni iliyohusika katika ujenzi wa daraja lililoanguka huko Genoa//Kiongozi wa upinzani Mali ayakataa matokeo yaliyompa ushindi wa urais Rais Boubacar Keita

https://p.dw.com/p/33LXu