Taarifa ya Habari Asubuhi 28.08.2021 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 28.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Taarifa ya Habari Asubuhi 28.08.2021

Jeshi la Marekani limesema limemuua mtu aliyepanga mashambulizi kwenye uwanja wa ndege wa Kabul // Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana na Rais wa Marekani, Joe Biden mjini Washington // Vyombo kadhaa vya habari nchini Urusi vimetaka kumalizika kwa kampeni ya kitaifa ya kuvikandamiza vyombo binafsi vya habari

Sikiliza sauti 08:00