1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 19.01.2017

Grace Kabogo
19 Januari 2017

Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS imetangaza kuwa inajiandaa kupeleka majeshi yake nchini Gambia kama Rais Yahya Jammeh atakataa kuondoka madarakani//Rais wa Marekani, Barack Obama amekutana kwa mara ya mwisho na waandishi wa habari katika Ikulu ya White House//Urusi na Uturuki zimeunganisha majeshi yake na kuanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo nchini Syria

https://p.dw.com/p/2W1d3