1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Asubuhi 06.09.2020

V2 / S12S6 Septemba 2020

VIDOKEZO: Sudan yatangaza miezi mitatu ya hali ya dharura kufuatia mafuriko.// Rais aliyepinduliwa wa Mali Boubakar Keita, apelekwa Umoja wa Falme za Kiarabu kutibiwa.// Waokoaji wa Beirut wapoteza matumaini kupata manusura hai chini ya vifusi, mwezi mmoja tangu mripuko mbaya kuutikisa mji huo.

https://p.dw.com/p/3i3c7