1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari: asubuhi 04.12.2021

Zainab Aziz
4 Desemba 2021

Mazungumzo juu ya kuufufua mkataba wa nyuklia uliofikiwa na Iran yakwama. Baba mtakatifu akutana na wakimbizi nchini Cyprus. Raia wa Gambia leo wanapiga kura ya kumchagua rais wa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/43p25