1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 01.11.2019

Grace Kabogo
1 Novemba 2019

Bunge la Marekani limeidhinisha mchakato wa uchunguzi wa kumuondoa Rais Donald Trump madarakani//Syria imesema lengo lake kuu ni kurejesha mamlaka ya serikali kwenye maeneo yanayodhibitiwa na Wakurdi kaskazini mashariki mwa Syria//Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel anatarajiwa kukutana na viongozi wa India kutafuta njia za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kimkakati

https://p.dw.com/p/3SJzK