1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari 21.01.2019

Sylvia Mwehozi
21 Januari 2019

Mataifa ya afrika yaanza kumtambua Felix Tshisekedi kuwa rais ajaye wa DRC.Ripoti ya Oxfam, yaonyesha mabilionea 26 duniani wanamiliki utajiri ulio sawa na nusu ya binadamu maskini zaidi duniani.Israel yakiri kuyashambulia maeneo ya kijeshi ya Iran huko Syria.

https://p.dw.com/p/3Bsh1