1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari: 18:07:2021

18 Julai 2021

Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, ametembelea jimbo la NorthRhine Westaphalia ambalo limeathirika zaidi na mafuriko. Maandamano yaibuka Ufaransa kupinga sheria mpya za Corona. Mjane wa rais aliyuwawa Haiti arudi nyumbani baada ya kutibiwa.

https://p.dw.com/p/3wdXr