1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari 05.05.2019

V2 / S12S5 Mei 2019

Rais wa Venezuela amelitaka jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari dhidi ya uvamizi kutoka nje. Mamlaka nchini Algeria zimemkamata kaka wa rais wa zamani Abdelaziz Bouteflika. Mashambulizi ya anga ya vikosi vya serikali yamewauwa watu tisa nchini Syria

https://p.dw.com/p/3HwPI