Taarifa ya habari 01.04.2021 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 01.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Taarifa ya habari 01.04.2021

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa asema Myanmar yakabiliwa na kitisho cha kutumbukia katika vita vibaya vya wenyewe kwa wenyewe. // Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atangaza shule kufungwa kote Ufaransa ili kudhibiti ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona. // Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imeafiki uamuzi wa kuachiliwa huru kwa Rais wa zamani wa Cote d'Voire Laurent Gbagbo.

Sikiliza sauti 08:00