Syria yakanusha kushambuliwa | Media Center | DW | 17.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Syria yakanusha kushambuliwa

Syria yakanusha taarifa ya awali kwamba ilishambuliwa mapema alfajiri ya leo, huku wachunguzi wa silaha za kemikali hatimaye wakitarajiwa kuingia Douma kuchunguza madai ya kuwepo silaha za sumu nchini humo. Papo kwa Papo: 17.04.2018.

Tazama vidio 01:42
Sasa moja kwa moja
dakika (0)