Sura za Tete: Jimbo katika andasa za makaa | Mada zote | DW | 22.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Makaa ya mawe ya Msumbiji

Sura za Tete: Jimbo katika andasa za makaa

Tokea kugundulika kwa akiba kubwa ya makaa ya mawe, Tete, jimbo la kati la Msumbiji, limekuwa likivutia watu wengi kwa imani ya kutengeneza pesa kwa haraka. Lakini je, makaa hayo ya mawe yanaweza kutosheleza watu wote?.