1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CDU yapata ushindi wa kihistoria uchaguzi wa Rheinland-Pfals

25 Machi 2026

Chama cha kihafidhina cha Christian Democratic Union cha Ujerumani CDU kimeshinda uchaguzi wa jimbo la Rheinland-Pfals. Kwa matokeo hayo, CDU sasa inaweza kuwa na Waziri Kiongozi atakayeongoza jimbo hilo baada ya miaka 35. Zaidi kuhusu ushindi huo wa kihistoria wa chama hicho cha Kansela Friedrich Merz ungana na Angela Mdungu kwenye makala ya Sura ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/5B6MP