Sumu la aflotoxin na madhara yake | Media Center | DW | 08.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Sumu la aflotoxin na madhara yake

Kwenye kipindi cha Afya yako, leo tunaangazia visa vya watu kuathirika kutokana na chakula kilicho na sumu ya Aflatoxin haswa nchini Kenya. Hali hiyo imekuwa ikitokea sehemu mbalimbali kwa muda mrefu sasa. Tunaangazia pia madhara ya sumu ya aflatoxin na jinsi ya kukabilina nayo. Mtayarishaji na msimulizi ni Bernard Maranga

Sikiliza sauti 09:45