1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sumaye kugombea urais Tanzania 2015

11 Julai 2014

Siku chache baada ya mwanasiasa kijana na naibu waziri, January Makamba, kutangaza nia ya kugombea urais mwaka 2015, sasa waziri mkuu wa zamani Frederick Sumaye amejitokeza akisema atagombea wadhifa huo.

https://p.dw.com/p/1Canj
Picha: imago/Xinhua

Mwandishi wetu Doto Bulendu anazungumza na Sumaye juu ya kile kinachoonekana kuwa ni kuanza kinyang'anyiro katika chama tawala nchini Tanzania, CCM. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Doto Bulengu
Mhairiri: Saumu Yusuf