Sumaye amchana waziri Kigangwala | Matukio ya Afrika | DW | 30.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Sumaye amchana waziri Kigangwala

Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzania Hamis Kigwagngala amewataja mawaziri wakuu wastafu Fredrick Sumaye na Edward Lowassa miongoni mwa waliojimilikisha viwanja kwenye eneo la mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro na kujenga majumba

Sikiliza sauti 03:35