STUTTGART: Timu ya Stuttgart yanyakua ubingwa Ligi ya Ujerumani | Habari za Ulimwengu | DW | 20.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

STUTTGART: Timu ya Stuttgart yanyakua ubingwa Ligi ya Ujerumani

Bingwa mpya wa kandanda katika Ligi ya Ujerumani ni timu ya Stuttgart iliyoikandika Energie Cottbus mabao 2-1 katika mchezo wa kusisimua siku ya Jumamosi.Schalke,iliyopigania ubingwa huo mpaka dakika ya mwisho imeshika nafasi ya pili baada ya kuifunga Bielefeld pia kwa mabao 2-1.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com