Somo la 52 – Wakati wa chemsha bongo | Radio D Teil 2 | DW | 02.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 52 – Wakati wa chemsha bongo

Kwa kumalizia, wanafunzi wa Kijerumani wanaweza kupima uwezo wao wa kusikiliza kupitia chemshabongo ndogo. Eulalia na Compu wanawasilisha mazowezi manne ya kusikiliza yanayohitaji kutatuliwa. Ni maneno gani yanakosekana?

Kwa kipindi cha mwisho, timu ya Redio D wamefikiria jambo maalumu. Eulalia anawasilisha chemshabongo ambako wasikilizaji wanakisia baadhi ya maneno. Compu anaweza kutoa vidokezo vidogo, lakini yeyote aliefuatilia kwa umakini vipindi 25 vilivyopita ataweza kujibu maswali hayo bila msaada. Majibu sahihi yanaweza kutumwa kwa njia ya baruapepe kwa bildung@dw.com. Na baada ya kazi nzito profesa anawapumzisha wasikilizaji na mazowezi zaidi ya sarufi.

Vilivyopakuliwa