Somo la 51 – Barua ya marejeo kwa Jan | Radio D Teil 2 | DW | 02.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 51 – Barua ya marejeo kwa Jan

Sasa ni wakati tena wa kuagana: kwa bahati mbaya muda wa Jan wa ukurufunzi unakaribia mwisho na Philipp na Paula wanafikikira kuhusu barua ya mrejeo. Leo Jan anaonyesha ukarimu wake.

Kutakuwa na hafla fupi kusherehekea siku ya mwisho ya Jan Redio D. Wakati wa hafla hii anawashangaza wenzake kwa kuwanunulia vinywaji na vitafunwa. Lakini Paula na Phlipp bado wanajishughulisha na kumuandikia barua ya mrejeo. Kwa hii wanahitaji kutafuta maneno sahihi, kwa sababu iwapo Jan atapata barua nzuri ya mrejeo pengine anaweza kujasiliwa katika shule ya uandishi wa habari.
Profesa anaangalia viunganishi vya "falls" na "wenn", na anaeleza sentensi za masharti kwa wasikilizaji.

Vilivyopakuliwa