Somo la 49 – Kituo cha Berlin | Radio D Teil 2 | DW | 02.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 49 – Kituo cha Berlin

Matembezi katika mji wa Berlin yanaishia kwa Paula, Philipp, Jan na Josefine kupata mlo wa mapumziko na wenye kuhabarisha katika bustani ya jumba la sanaa la Tacheles. Huko Josefine anagundua jambo la kuvutia.

Mizunguko husababisha njaa na waandishi kutoka Redio D wanatafuta chakula. Ni baada tu ya majadiliano ndiyo wanaweza kuamua juu ya mahala pa kula. Katika jumba la Tacheles, Josefine anakutana na msanii anaetengeneza masanamu kutokana na taka na anajifunza kwake mengi zaidi kuhusu historia ya Tacheles.
Wasikilizaji kwa upande mwingine, wanajifunza kuhusu sentensi rejeshi na sintaksi kutoka kwa profesa.

Vilivyopakuliwa