Somo la 48 – Mashariki na Magharibi | Radio D Teil 2 | DW | 02.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 48 – Mashariki na Magharibi

Safari hii katika studio za Redio D Paula anaangalia kuungana tena kwa Ujerumani mbili. Amewaalika wageni kadhaa kujadili suala hili pamoja naye.

Paula anaongoza mjadala kuhusu mada ya "Wajerumani wa Mashariki na Magharibi". Anazungumza na fundi magari kutoka Ujerumani Mashariki, mwanasaikolojia na mtaalamu wa uchumi. Maswali yake kwa wageni leo: je, bado kuna chuki? Na upi utakuwa mtazamo chanya zaidi kwa Wajerumani wa Mashariki na Magharibi? Profesa pia anayo magumu ya kushughulikia: anafafanua vitenzi vya dhamira ya kinjozi "haben" na "sein" na utungaji wa sentensi kwa kutumia kitenzimuundo cha "wurde".

Vilivyopakuliwa