Somo la 46 – Madubu wa Berlin | Radio D Teil 2 | DW | 02.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 46 – Madubu wa Berlin

Paula na Philipp wanajishughulisha mjini Berlin na mradi wa sanaa wa "United Buddy Bears", unaoandaliwa na wasanii kutoka mataifa 120. Mahojiano yanapaswa kutoa maelezo zaidi kuhusu mradi huu.

Tukirejea Berlin, Paula na Philipp wanakwenda kwenye matembezi mjini wakiwa na Josefine na Jan. Josefine anavutiwa na mradi maalumu wa sanaa: masanamu ya madubu 120 ya plastik yanazungushwa duniani kote kama ishara ya kuvumiliana. Waandishi hao wanamuuliza afisa habari wa kampuni na kujifunza zaidi kuhusu madubu hao wang'avu. Wakati wengine wakijifurahisha mjini Berlin, profesa ana kazi ya kufanya: anafafanua mwisho wa vivumishi vinavyokuja kabla ya nomino. Siyo kazi rahisi.

Vilivyopakuliwa