Somo la 43 – Tolea Maalum | Radio D Teil 2 | DW | 02.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 43 – Tolea Maalum

Kitendawili cha miale ya leza ya siri karibu kimetatuliwa. Lakini Paula na Philipp hawana sababu ya kufurahi. Kisa chote tayari kipo gazetini. Ni wapi washindani wao walipata taarifa hizo zote?

Habari mbaya kwa Paula na Philipp: tayari kuna ripoti ya kina kuhusu chanzo cha leza gazetini. Hilo linaacha swali la kwa nini mlango wa kuingia kiwanda cha miwani haukulindwa vizuri. Waandishi hao wawili wanaanza safari kuelekea huko. Wanapofika huko, wanatumai kukuta mkutano wa waandishi habari na taarifa ya msemaji. Nani hasa alisema nini hapa? Katika tukio la mchanganyiko huu wote, profesa anauliza swali hili na anaangalia matamshi ya moja kwa moja na yasiyo ya moja kwa moja.

Vilivyopakuliwa