Somo la 42 – Kazi kwa Eulalia | Radio D Teil 2 | DW | 02.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 42 – Kazi kwa Eulalia

Paula na Philipp wako hatua moja karibu kutatua kitendawili hicho. Sasa wamegundia inapotokea miale ya leza. Lakini Eulalia hajarudi bado kutoka safari yake ya uchunguzi. Hili linaweza kumaanisha nini?

Baada ya Paula na Philipp kugundua inapotokea miale ya leza, wanakifahamisha kiwanda cha miwani ili kutatua suala hilo. Lakini wasiwasi wao mkubwa ni kuhusu kupotea kwa Eulalia. Waandishi hao wamesikia kilio cha mashaka. Je, kuna jambo limemtokea Eulalia? Baada ya wasiwasi mkubwa wasikilizaji sasa wanaweza kupumzika kidogo kwa sarufi. Profesa anashughulika na viwakilishi vimilikishi vya mtu wa tatu mmoja "sein" na "ihr".

Vilivyopakuliwa