Somo la 38 – Safari ya treni kwenda Jena | Radio D Teil 2 | DW | 02.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 38 – Safari ya treni kwenda Jena

Gari la Philipp limeharibika, hivyo waandishi hao wawili wa Redio D wanalaazimika kwenda kituo cha uchunguzi wao unaofuata kwa treni. Mambo ya ajabu yanatokea huko. Kisa bayana kwa Paula na Philipp.

Mara tu baada ya Philipp kulifikisha gari lake kwa fundi, uchunguzi mpya unajitokeza. Mjini Jena kuna mtu anasababisha matatizo na mionzi ya leza. Paula na Philipp wanataka kuliangazia jambo hilo. Hivyo wanakwenda kwa treni katika kituo cha matukio hayo. Lakini kama inavyokuwa kwa kawaida, siyo kila kitu kinatokea kama kinavyopaswa.
Profesa anatumia hilo kama kisingizio kukiangalia kitenzi saidizi "sollen" na kueleza maana yake katika mfumo wa sentensi au swali.

Vilivyopakuliwa