Somo la 37 – Jukwaa la wasikilizaji | Radio D Teil 2 | DW | 02.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 37 – Jukwaa la wasikilizaji

Maswali kuhusu vipindi vyote mpaka sasa yanajibiwa na profesa. Kwa msaada wa sampuli kadhaa za sauti anawaonyesha wasikilizaji kwamba tayari wanaweza kuelewa mengi bila kujua kila neno linalosemwa.

Jambo kubwa katika barua za wasikilizaji mara hii ni mikakati ya kuelewa zaidi lugha ya kuzungumza. Profesa anajibu tena maswali ya wanafunzi na kutoa vidokezo muhimu kuhusu uelewa wa unachokisikia na misamiati.
Miongoni mwa mambo anayoyawasilisha ni matangazo ya vipaza sauti, simu na matangazo ya redioni. Wasikilizaji wanajifunza namna unavyoweza kuagiza kinachosemwa kwa msingi wa kiimbo, maneno yanayojulikana na sauti za nyuma na kukisia maneno yasiyojulikana katika muktadha huo.

Vilivyopakuliwa