Somo la 36 – Ludwig van Beethoven | Radio D Teil 2 | DW | 01.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 36 – Ludwig van Beethoven

Akiwa na umri wa miaka 22, Ludwig van Beethoven alitunga wimbo maarufu wa "Ode an die Freude", ambao ndiyo wimbo rasmi wa Umoja wa Ulaya. Wimbo huo unapochezwa huwatoa wasikilizaji Jumba la Beethoven hadi karne ya 18.

Ludwig van Beethoven ni mmoja ya raia maarufu zaidi wa mji wa Bonn. Paula na Philipp wanawasilisha kanda ya sauti kuhusu sinfoni yake maarufu ya karne ya 19 na pigo kubwa zaidi katika maisha ya mtunzi huyo maarufu: kupoteza uwezo wake wa kusikia. Mtu asipoelewa jambo, inaleta maana kurudia kilichosemwa. Profesa anashughulika na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja katika sentensi saidizi na kiunganishi cha "dass".

Vilivyopakuliwa