Somo la 33 – Mwenzi mpya | Radio D Teil 2 | DW | 26.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 33 – Mwenzi mpya

Jan anaanza siku yake ya kwanza kama mkurufunzi katika Redio D: Lakini Paula na Philipp hawana muda wa kutosha kumhudumia kwa sababu Compu ana kisa kipya kwa ajili yao. Maripota hao wanapaswa kuwahi kwenda Bonn.

Mara tu baada ya Jan kufahamiana na wenzake katika chumba cha habari, uchunguzi wa kwanza ukaanza. Paula na Philipp wanapaswa kufika haraka Bonn. Katika nyumba alikozaliwa mtunzi Beethoven, mambo ya ajabu yamekuwa yakitokea usiku. Kwenye eneo la tukio wanajipanga kuchunguza kisa hicho kwa kina.
Kisichostajabisha kama matukio ya Jumba la Beethoven ni mpangilio wa maneno katika maswali yasiyo ya moja kwa moja, ambayo profesa anayaangalia kwa karibu zaidi leo.

Vilivyopakuliwa