Somo la 32 – Sungura na nungunungu | Radio D Teil 2 | DW | 26.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 32 – Sungura na nungunungu

Kuna msemo usemao: "Tumia kichwa chako kuokoa migu yako". Lakini wakati mwingine hilo halitoshi. Eulalia anawasimulia wasikilizaji kisa cha kusisimua, kwa sababu yeye pia anajua kuhusu shindano lisilo la kawaida.

Wakati wa simulizi katika Redio D: Kama ilivyokuwa Gründheide, inahusu pia nungunungu alieshindana na sungura mwenye miguu mirefu zaidi katika mbio. Pamoja na mke wake, alitaka kumfundisha sungura mwenye kiburi juu ya wapi kujifaharisha kunaweza kukupeleka. Sehemu kubwa ya kisa hicho inasimuliwa katika wakati uliopita. Kwa profesa hiyo ni fursa nyingine ya kuchunguza muundo wa wakati uliyopita wa vitenzi - safari hii ikiwa pia ni pamoja na vitenzi visivyo vya kawaida vinavyotoa changamoto.

Vilivyopakuliwa