Somo la 31 – Chukuwa alama zako! | Radio D Teil 2 | DW | 26.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 31 – Chukuwa alama zako!

Kijijini Gründheide yanatokea mambo ya kustajabisha. Inakuwaje Trabbi inafikia lengo kabla ya Porsche? Kwa Jan, Paula anaye swahiba mwenye kufikiri haraka anaejua lilipo jawabu la maajabu hayo.

Shukrani kwa Jan, Paula anafanya ugunduzi muhimu njiani kuelekea Möllensee. Kuna jambo la mashaka kuhusu shindano hili. Paula anafuatalia hila ya dereva wa Trabbi Günther. Na nini anakijua Philipp? Anaonekana kuizimikia hila hiyo ya dereva wa Trabbi Günther.
Profesa pekee ndiyo hakubali kupumbazwa. Mara hii kuna miundo mingi ya wakati uliyopita kwenye programu na pia vitenzi visivyo vya kawaida "haben" na "sein" kwake siyo tatizo.

Vilivyopakuliwa