Somo la 29 – Katika baa kijijini Grünheide | Radio D Teil 2 | DW | 26.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 29 – Katika baa kijijini Grünheide

Wakiwa baa ya kijiji cha Grünheide, Paula na Philipp wanasikia moja kwa moja kutoka kwa wakaazi. Wanakijiji wana maoni kwamba Trabbi itashinda mpambano huo dhidi ya Porsche. Lakini Philip ana mtazamo tofauti kabisaa.

Ili kujua kinachoendelea katika mashindano kijini Grünheide, Paula na Philipp wanaingia baa. Huko wanatumai kupata taarifa kutoka meza ya wateja wa kila siku. Lakini wanaendelea kusikia simulizi zilezile. Baada ya kupata bia kadhaa, Philipp anachukua hatua hatari ya kuwekeana dau na wenyeji.
Profesa bado amejikita katika ulinganishaji wa vivumishi, na hasa vilivyo na herufi zenye vinukta viwili juu yake (Umlaut kwa Kijerumani) pamoja na miundo mbalimbali ya sifa za juu.

Vilivyopakuliwa