Somo la 27 – Katika chumba cha habari | Radio D Teil 2 | DW | 26.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 2

Somo la 27 – Katika chumba cha habari

Wasikilizaji wote wanaojiunga na sehemu ya pili ya Redio D bado wanayo fursa katika somo hili la kwanza kujuana na watumishi wa chumba cha habari na kuzijua pilikapilika za kila siku za ofisi hiyo.

Kuna mpwitompwito katika chumba cha habari cha Redio D: Wahariri Philipp na Paula, msafishaji Josephine, bundi Eulalia na kompyuta Compu wanapokea barua pepe kutoka kwa mfanyakazi mwenzao wa zamani Ayhan. Tangu Ayhan alipoondoka Berlin kwenda kumhudumia baba yake, Paula amekuwa mnyonge. Kwa upande mwingine Philipp anaonekana kuwa mwenye furaha.
Naye profesa ambaye wakati wote yuko tayari kupokea maswali ya wasikilizaji, anatoa vidokezo muhimu kuhusu mbinu za usikilizaji kwa watu wapya katika sehemu ya pili ya mfululizo huu.

Vilivyopakuliwa