Somalia: Baraza la Usalama laregeza vikwazo vya silaha | Matukio ya Afrika | DW | 25.07.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Somalia: Baraza la Usalama laregeza vikwazo vya silaha

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa,lililegeza vikwazo vya silaha Somalia, ili iweze kununua silaha na vifaa vingine muhimu, vitakavyoiwezesha kuimarisha usalama nchini ambayo imekumbwa na vita vya muda mrefu.

Somali imekumbwa na vita vya zaidi ya miongo miwili

Somalia imekumbwa na vita vya zaidi ya miongo miwili

Hata hivyo nchi hiyo bado hairuhusiwi kununua zana nzito nzito za kivita, bila kibali kutoka Umoja wa Mataifa. Muda mfupi uliopita Daniel Gakuba amezungumza na mbunge wa Somalia Hussein Bantu kuhusu hatua hiyo ya Umoja wa Mataifa, na kwanza alitaka kujua iwapo serikali mjini Mogadishu imetoa tamko lolote. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Daniel Gakuba

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada