1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Soka la wanawake laendelea kupata umaarufu Afrika na duniani

Amina Abu Ali Mjahid/MMT17 Julai 2019

Katika makala ya Wanawake na Maendeleo leo tunaiangazia soka ya wanawake namna inavyoendelea kupata umaarufu Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla. Je wanawake wanaocheza mpira wanajihisi vipi uwanjani? Je mpira wa kike unakubalika? Na je ni changamoto gani ambazo bado zinawakumba wachezaji wa kike katika soka?

https://p.dw.com/p/3MBd7